Monday, June 26, 2017

WEUSI WAUNGANA NA WASANII WENGINE KU-UNLOCKS CASTLE LITE JULAI 22, 2017 VIWANJA VYA LEADERS CLUB- DAR

Kundi la weusi wakiwa wamepozi na Meneja Masoko wa TBL Idara ya Kuunganisha Wateja Afrika Mashariki, George Kavishe juzi usiku, mara baada ya kutangazwa kushiriki tamasha kubwa la CASTLE LITE UNLOCKS litakalofanyika julai 22 viwanja vya Leaders  Club jijini Dar Es Salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu