Saturday, July 29, 2017

BODABODA ILALA WAANDAMANA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT. MAGUFULI

Bodaboda Wilaya ya Ilala waandamana Dar es Salaam leo viwanja vya Mnazi Mmoja kumuunga mkono juhudi za Rais Dkt. Magufuli, maandamano hayo yamepokelewa na mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu