Tuesday, July 4, 2017

BONDIA IBRAHIMU CLASS ATUA NCHINI NA UBINGWA WA DUNIA KUTOKEA NCHINI UJERUMANI

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata nchini Ujerumani unaotambuliwa na Global Boxing Council 'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council 'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point kushoto ni bondia shabani kaoneka na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' .
Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini.
Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini.  Picha na SUPER D BOXING NEWS.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu