Monday, July 17, 2017

KAMANDA MPINGA AKABIDHI OFISI KWA MRITHI WAKE SAC FORTUNATUS MUSLIM

Aliyekuwa DCP Kamanda Trafiki nchini, Mohammed Mpinga akimkabidhi ofisi mrithi wake SAC Fortunatus Muslimu katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya trafiki Jijini Dar es Salaam. DCP Mpinga amehamishiwa Mbeya kwenda kuwa Mkuu wa Polisi mkoani humo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu