Saturday, July 8, 2017

KAMPENI YA JAZA UJAZWE UJAZIWE ZAIDI YATIKISA MAONESHO YA BIASHARA YA 41 SABASABA 2017

Meneja wa Huduma za Biashara Tigo, Suleiman Bushagama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuchezesha droo ya Jaza Ujazwe ujaziwe zaidi ya kila wiki ambapo mshindi, Alishady Kihongo Msaji toka Arusha alijishindia simu aina ya Samsung S8. Pichani kushoto ni Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania, Abdallah Hemed na Balozi wa Tigo Jaza ujazwe ujaziwe zaidi Lucas Mhavile JOTI.
Balozi wa Tigo Jaza ujazwe Ujaziwe zaidi JOTI akiwa na mteja wa Tigo, Jane Mushi wa salasala Dar wakati wa kampeni za klia wiki za Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi kwenye banda la Tigo Sabasaba leo. Kampeni ambazo washindi ujipatia simu aina ya samsung S8, muda wa maongezi na intaneti ya bure mwaka mzima.
Balozi wa Tigo Jaza ujazwe Ujaziwe zaidi JOTI akisherehesha umati wa wakazi wa jiji la Dar es salaam waliojaa katika banda la tigo.
Meneja wa Huduma za Biashara Tigo, Suleiman Bushagama akichezesha droo ya Jaza Ujazwe ujaziwe zaidi ya kila wiki ambapo mshindi, Alishady Kihongo Msaji toka Arusha alijishindia simu aina ya Samsung S8. Pichani kushoto ni Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania, Abdallah Hemed na Balozi wa Tigo Jaza ujazwe ujaziwe zaidi Lucas Mhavile JOTI
JOTI akifanya yake kwenye kampeni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu