Friday, July 21, 2017

KAMPUNI YA SIMU YA MKONONI TIGO KUWALIPA WASANII AY NA MWANA FA 2.18 BILIONI

Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na kampuni ya MIC Tanzania Limited (TIGO) kupinga kuwalipa wasanii AY na MwanaFA Tshs 2.18 Bilioni kwa kutumia nyimbo zao bila kulipa.

Wakili Albert Msando (pichani) ambaye anawakilisha wasanii hao amesema huu ni ushindi muhimu kwa sanaa ya Tanzania. Amenukuliwa akisema "ni haki yao kulipwa kwa sababu ni kazi zao ambazo zinalindwa kisheria".

Wasanii Ambwene Yessaya 'AY' (kulia) na Hamisi Mwinjuma 'Mwana FA' (kushoto) wakiwa pamoja na wakili wao Albert Msando (katikati).

UKITAKA KUSOMA SOMA ZAIDI BONYEZA HAPA...

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu