Friday, July 14, 2017

KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA MAREKANI, ALGERIA NA PALESTINA JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom,alipofika kwa ajili ya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.
Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake na Katibu Mkuu wa CCm Abdulrahman Kinana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga picha maalum na Blozi wa Algeria hapa nchini, Saad Belabed.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Algeria hapa nchini, Saad Belabed, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga picha maalum na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. PICHA BASHIR NKOROMO

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu