Thursday, July 13, 2017

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAANDALIA TIMU YA EVERTON CHAKULA CHA USIKU

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mshambuliaji na nahodha wa Timu ya Taifa ya Unigereza na mchezaji mpya wa klabu ya Everton Wayne Rooney katika hafla ya chakula cha usiku aliyowaandalia wageni hao usiku huu ambao leo Julai 13, 2017 wanacheza na Gor Mahia ya Kenya katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu