MKurugenzi wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akifungua simu aina ya Sumsang, yenye thamani ya Shilingi milioni 1.9/= na pembeni yake ni mshindi wa wiki wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi, mkazi wa jijini Mbeya, Chiku Miyeka jana eneo la Kabwe Jijini hapa mapema jana.
MKurugenzi wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akimkabidhi simu aina ya Sumsang, yenye thamani ya Shilingi milioni 1.9/= mshindi wa wiki wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi, mkazi wa jijini Mbeya, Chiku Miyeka jana eneo la Kabwe Jijini hapa.
Wakazi wa Jiji la Mbeya wakishuhudia makabibidhiano hayo mapema jana.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: