Sunday, July 30, 2017

MWANAUME AUZIWA SKETI BADALA YA SURUALI

Unaweza ukacheka kama mazuri, lakini siku yakikutokea na wewe usije ukachanganyikiwa, amini kuingizwa mjini kunauma sana, labda kama hauja wahi kukutana na hali kama hiyo.

Zilikuwa ni dakika chache tu baada ya mfanyabiashara ambaye hutembeza nguo maeneo ya Dar es salaam – Buguruni. Alipokutana na kijana mmoja akiwa katika mizunguko yake.

Kisha akanza kumshawishi ili amuuzie nguo. Utata uliibuka kidogo kwenye mapatano ya bei coz kila mmoja alikuwa anataka kumlalia mwenzie hakukua na ugomvi, Ila kilicho endelea hupaswi kusimuliwa Itazame video inayoonyesha tukio zimaa hapa…

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu