Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje ambao umeogozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi. Mkutano huo umeandaliwa na Chama cha watoa huduma wa vituo vya Afya binafsi nchini Tanzania (APHFTA), utafanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam. Picha na Kajunason Blog/Cathbert Kajuna.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiongoza mkutano wa sita wa watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje pamoja na mabalozi na viongozi mbali mbali wa serikalini na sekta binafsi kujadili mustakabali wa sekta ya afya wa Tanzania na nchi shiriki hasa jinsi ya kuboresha sekta binafsi. Mkutano huo umeandaliwa na Chama cha watoa huduma wa vituo vya Afya binafsi nchini Tanzania (APHFTA), utafanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam. Picha na Kajunason Blog/Cathbert Kajuna.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Watoa Huduma za Afya Afrika Mashariki, Dr. Kaushik Ramaiya. Pembeni kulia ni Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar Jensen.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Watoa Huduma za Afya Afrika Mashariki, Dr. Kaushik Ramaiya. Pembeni kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu .
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia tuzo.
Meza kuu wakifurahia zawadi walizopewa.
Watoa huduma za afya, wamiliki wa vituo vya Afya, wataalamu wa Afya kutoka Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Uganda, Burundi, na mataifa ya nje wakifurahia jambo.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata mara baada ya kutembelea mabanda kujionea shughuli zinazoendelea.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu mara baada ya kutembelea banda lao.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na vyombo vya habari.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiongea na vyombo vya habari.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: