Mcheza filamu mkubwa kutoka Bollywood India Sunjay Duty amewasili nchini kwa ajili ya kutembelea vivutio vya utalii.
Mbunge wa jimbo la Manonga mkoani Tabora, Seif Khamis Gulamali alipokutana na Mcheza filamu mashuhuri wa nchini India, Sunjay Duty uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jk Nyerere jijini Dar es salaam wakati akielekea mapumzikoni katika Hifadhi za taifa za Ngorongoro na Serengeti.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: