Saturday, July 8, 2017

TAARIFA YA KIFO CHA AL HAJJI ABBAKARI GALIATANO

Kwa masikitiko makubwa Familia ya Al hajji Galiatano wa Bukoba inawatangazia kifo cha Mzee wao mpendwa Al hajji Abbakari Galiatano kilichotoa leo Jumamosi July 8,2017 Katika hospitali ya Mkoa Kagera.

Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho Jumapili saa saba mchana nyumbani kwake Kijijini Buganguzi Muleba.

Tunamuomba Mungu ailaze roho yake mahari pema peponi Amina ...

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu