Msanii wa Kizazi kipya Nasbu Abdul (Diamond Platnumz) akimpa Pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na Mkewe, Linah Mwakyembe Nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akimpa pole Waziri wa Habari, Michezo , Utamaduni na Sanaa, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na Mkewe, Linah Mwakyembe Nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Rais Mtaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akilakiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipofika kumpa pole kwa msiba wa mke wa Waziri huyo mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Rais Mtaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiongea na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipofika kumpa pole kwa msiba wa mke wa Waziri huyo mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda (kulia) akiongea na baadhi ya waombolezaji alipofika kumpa pole Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi (kulia) akiteta jambo na Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda wakati walipofika kumpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati alipoenda kumpa pole Waziri Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu akimpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na Mkewe, Linah Mwakyembe Nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Bernad Membe akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika Msiba wa Mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola, wakimpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na Mkewe, Linah Mwakyembe nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Picha mbalimbali waliofika katika Msiba wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma akimpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na Mkewe, Linah Mwakyembe Nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika Msiba wa Mke wa Waziri wa Habari, Michezo , Utamaduni na Sanaa, Linah Mwakyembe nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam. Picha zote na Emmanuel Masaka, Globu ya jamii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: