Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  pamoja na viongozi mbalimbali wakifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Barabara  ya Kibondo -Nyakanazi kiwango cha lami.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  pamoja na viongozi mbalimbali serikali wakikata Utepe  kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Ujenzi wa  Barabara  ya Kibondo -Nyakanazi 
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwasalimia wananchi wa mji wa Kibondo wakati akiwa safarini kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma.
 Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na kijana mwenye ulemavu amabye ni fundi wa kushona nguo ndugu Aron Michael Kapililo mkazi wa Kibondo ambaye alisimiana na Rais Magufuli 
 Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi wa kijiji cha Kifura,  Kibondo Mkoani kigoma waliokuwa wamesimama njiani ili kusalimiana na mh Rais akiwa njiani  safarini kutoka Ngara kuelekea Mkoani Kigoma
 Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimiana na mamia ya wananchi wa Mamia ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapungia mikono mamia ya wakazi wa Kasulu, Mkoani Kigoma.


Mamia
ya wakazi wa Kasulu Mkoani Kigoma waliojitokeza kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa
kilometa 63 Kidawe - Kasulu.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi walioshiriki uzinduzi wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu
  Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge Kigoma Mjini Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe mara baada ya kuzindua  ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu
 Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Kigoma akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa  ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu Mkoani Kigoma,
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliokuwa wamefurika njiani mara baada ya  Uzinduzi
wa  ujenzi wa barabara kwa kiwango cha
lami yenye urefu wa kilometa 63 Kidawe - Kasulu Mkoani Kigoma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: