Thursday, July 27, 2017

WATAFITI WAOMBWA KUTAFITI MAZAO YA CHAKULA

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Adam Malunkwi, akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa wilaya hiyo kufungua mafunzo hayo. Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Paschal Byemelwa.
Mshauri wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Dk.Nicholaus Nyange akitoa mada.
Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa wilaya hiyo, Abdulusalam Kajuna, akizungumza. Mtafiti wa zao la Pamba kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Ugirigulu Mwanza, Stellah Chilimi akitoa mada.
Maofisa ugani wakiwa katika mafunzo.
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Semina hiyo
Maofisa ugani wa wilaya hiyo wakijitambulisha kwa mkuu wa wilaya.
Wanahabari wakiandaa taarifa hiyo. Kulia ni Doreen Mlay wa TBC na Hellen wa Time FM.
Picha ya pamoja ya maofisa ugani na mgeni rasmi mkuu wa wilaya.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu