Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza na wadau mbalimbali wa maswala ya Gesi kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil yenye makao yake makuu nchini Norway, iliyoyangika kwenye Hotel Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo. Waziri Mwijage ameipongeza serikali ya Norway kwa kuona umuhimu wa kuwekeza kwenye GAS hapa nchini, kwani wao wamekuwa ni wakongwe kwenye sekta hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Borge Brende akizungumza na wadau mbalimbali wa maswala ya Gesi kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil jijini Dar Es Salaam leo.
Meneja Mkazi wa Statoil Tanzania, Oystein Michelsen akiongea na wadau mbalimbali wa maswala ya Gesi kwenye warsha lililoandaliwa na kampuni ya Satoil jijini Dar Es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Statoil Tanzania, Genevieve Kasanga akizungumza katika warsha hiyo.
Wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye warsha.
Picha ya pamoja mara baada ya warsha.
 Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Mhe. Borge Brende akizungumza na wanahabari.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akibadilishana mawazo na wadau.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akizungumza na wanahabari.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: