Katibu Mkuu Award Mpandila akipiga kura wakati wa uchaguzi huo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Justino Jekela.
Sehemu ya wajumbe MDA wakifanya zoezi la upigaji kura.
Makamu Mwenyekiti Philipo Mahenge (kulia) na Katibu Mkuu Award Mpandila wakipiga kura wakati wa uchaguzi huo.
Katibu Mkuu Award Mpandila akiwashukuru wajumbe kwa kufanikisha zoezi la uchaguzi huo. Katikati ni Mwenyekiti wa MDA, Clement Sanga na Makamu Naibu Katibu Mkuu, Monny Luvanda.
Mwenyekiti wa MDA, Clement Sanga akiwashukuru wajumbe na kutoa nasaa za mwelekeo wa chama kwa siku za baadae baada zoezi la uchaguzi huo. Kulia ni Katibu Mkuu Award Mpandila na Naibu Katibu Mkuu, Monny Luvanda.
Baadhi ya wajumbe wakipiga kura.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Justino Jekela akiongea na wajumbe wakati wa shughuli ya uchaguzi huo.
Baadhi ya wajumbe wakipiga kura.
Mmoja wa wajumbe akitoa maoni baada ya uchaguzi.
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uchaguzi.
Sehemu ya wajumbe MDA wakiwa katika picha ya pamoja Mwenyekiti wa Clement Sanga (wa nne kulia), Katibu Mkuu Award Mpandila (wa tano kushoto), Naibu Katibu Mkuu Monny Luvanda (wa tatu kulia) baada ya uchaguzi. (Imeandaliwa na Robert Okanda blogspot).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: