Friday, August 4, 2017

MAHOJIANO YA MUBELWA BANDIO NA MTANGAZAJI MADUHU EMMANUEL NDANI YA KILIMANJAR STUDIOS

Emmanuel Maduhu ni mtangazaji wa Morning Star Radio na Televisheni jijini Dar ES Salaam Mwezi Julai 2017 alifanya ziara ya kikazi nchini Marekani, ambapo alitembelea majimbo kadhaa.

Mwishoni mwa ziara yake, alipata fursa kuketi na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production ndani ya Kilimanjaro Studios na kujadili mambo mbalimbali kuhusu kazi, ziara, maisha nk
Karibu ujiunge nasi

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu