Monday, August 28, 2017

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA NDG: RODRICK MPOGORO AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA UVCCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI.

Naibu katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi ndg; Rodrick mpogoro  akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa  Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam.
Mwenyekiti wa umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha  Mapinduzi Ndg:Sadifa Juma khamisi akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara  na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar  es salaam
Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi shaka Hamdu  Shaka akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa  umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi  wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam
washiriki wa mafunzo elekezi wakifuatilia mafunzo
Mshiriki Katibu wa umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa  kirimanjaro ndg; abdulrahim hamid akiuliza swali wakati wa Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara  na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu