Saturday, August 26, 2017

PROFESA NDALICHAKO AVUTIWA NA KITUO CHA MAFUNZO KWA VITENDO CHA KIKULETWA WILAYANI HAI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako(kushoto) akifurahia madhari ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Kituo cha kuzalisha umeme cha Kikuletwa kilichopo wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro kinachotumika kwa mafunzo ya wanafunzi wanaosomea kozi ya Umeme,kulia ni Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Masika.Picha kwa hisani ya ATC.
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kulia) akifurahia madhari ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Kituo cha kuzalisha umeme cha Kikuletwa wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro kinachotumika kwa mafunzo ya wanafunzi wanaosomea kozi ya Umeme,kulia ni Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Masika.
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kulia) akipewa maelezo na Mkuu wa Chuo chaUfundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika wakati ya ziara yake kwenye Kituo cha kuzalisha umeme cha Kikuletwa wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro kinachotumika kwa mafunzo ya wanafunzi wanaosomea kozi ya Umeme,kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,Mhandisi Stella Manyanya.
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce NNdalichako(kushoto) akiangalia moja ya mitambo ya kuzalisha umeme kwa njia ya maji iliyokua ikitumika zaidi ya miaka 50 iliyopita,kulia ni Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Masika.
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati akizungumza na jumuiya ya wana Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwenye Kituo cha kuzalisha umeme cha Kikuletwa wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro kinachotumika kwa mafunzo ya wanafunzi wanaosomea kozi ya Umeme.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu