Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake, Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga huku viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia. Shughuli hiyo ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake, Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga huku viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia. Shughuli hiyo ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa pongezi na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada
ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga huku Viongozi mbalimbali wa Tanzania na
Uganda wakishuhudia. Shughuli hiyo ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakiwa katika picha ya pamoja na
waandishi wa habari mbalimbali waliohudhuria shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika
kijiji cha Chongoleani kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa
bomba la mafuta ghafi kutoka nchini Uganda hadi Tanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipunga mkono pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli, Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wakiagana na
Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika uwanja wa ndege wa Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza
ngoma ya msanja na Mama Janeth Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan mara baada ya kumsindikiza Rais wa Uganda Yoweri Museveni
katika uwanja wa ndege wa Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika viwanja vya Chongoleani kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la
msingi mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta.

Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
akimpa mkono Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni baada ya kumaliza
kuhutubia katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba
la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga
Nchini Tanzania.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shigela akiongea wakati wa sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi
kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania ambapo aliwaahidi
Rais Magufuli na Rais Museveni kuwa wataulinda mradi huo kwa faida ya
nchi hivi mbili na Afika Mashariki kwa Ujumla.

Baadhi ya wananchi wakifurahia jambo wakati wa hotuba ya Rais Dkt. John
Pombe Magufuli kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi wa
bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga
Nchini Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimueleza jambo Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati wa sherehe
za uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la kusafirisha mafuta
ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika viwanja vya Chongoleani kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la
msingi mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wakielekea kuweka jiwe
hilo la msingi.
Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa bomba la mafuta.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakiwa katika picha ya
pamoja na wasanii mbalimbali mara baada ya kutumbuiza.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni akihutubia katika viwanja vya Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga. PICHA NA IKULU

1


Baadhi ya wananchi wakifurahia 
jambo wakati wa hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe 
za uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi wa bomba la kusafirisha mafuta 
ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.2Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu 
Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa serikali alipowasili 
katika eneo la Chongoleani kuhudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la 
Msingi la Mradi wa bomba la  kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima 
Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.3Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali wa
serikali alipowasili katika eneo la Chongoleani kuhudhuria sherehe za 
uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi 
kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi alipowasili 
katika eneo la Chongoleani katika sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi 
la Mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda
hadi Tanga Nchini Tanzania.5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais wa 
Uganda Yoweri Kaguta Museveni alipowasili eneo la Chongoleani katika 
sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la kusafirisha 
mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimueleza jambo Rais wa Uganda Yoweri
Kaguta Museveni wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la Mradi
wa Bomba la  kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi 
Tanga Nchini Tanzania.7Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin
Shigela akiongea wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la 
mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda 
hadi Tanga Nchini Tanzania ambapo aliwaahidi Rais Magufuli na Rais 
Museveni kuwa wataulinda mradi huo kwa faida ya nchi hivi mbili na Afika
Mashariki kwa Ujumla.8Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Mhe. Medard Kalemani akiongea wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la 
msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini
Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania ambapo alimpongeza Rais Magufuli na 
Rais Yoweri Museveni kwa uamuzi wa kulipitisha bomba hili nchini 
Tanzania kwani litakuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo kwa nchi hizi 
mbili.9Waziri wa Nishati wa Uganda Irene
Muloni akiongea wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi
wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi 
Tanga Nchini Tanzania aliwapongeza Rais Magufuli na Rais Yoweri Museveni
pamoja na timu ya wataalamu waliofanikisha hatua iliyofikiwa ya 
utekelezaji wa Mradi wa huu.10Rais wa Kampuni ya akiongea 
wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la 
kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini 
Tanzania ambapo waliwaahidi Rais Magufuli na Rais Yoweri Museveni 
kumaliza mradi huu kwa wakati11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na wasanii 
waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la 
kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini 
Tanzania12Rais wa Uganda  Yoweri Kaguta 
Museveni akiongea wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la 
mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda 
hadi Tanga Nchini Tanzania ambapo alisema mradi huu uwe chachu ya 
kuimarisha uchumi ili kuwa na jumuiya imara ya Afrika Mashariki.13Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa mkono Rais wa Uganda Yoweri 
Kaguta Museveni baada ya kumaliza kuhutubia katika  sherehe za uwekaji 
wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka 
Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.14Makamu wa Rais Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpa mkono Rais wa Uganda 
Yoweri Kaguta Museveni baada ya kumaliza kuhutubia katika  sherehe za 
uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi 
kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania.15Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea wakati wa sherehe za uwekaji 
wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka 
Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Nchini Tanzania ambapo aliwataka wananchi
wa nchi za Uganda na Tanzania kuutumia mradi huu kwa manufaa ya nchi 
hizi mbili.15A 16Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta 
Museveni wakifunua kitambaa kuashiria kuwekwa kwa jiwe la msingi la 
mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda 
hadi Tanga Nchini Tanzania, wanaoshuhudia Kulia ni Makamu wa Rais Mhe. 
Samia Suluhu Hassan, Naibu Waziri Nishati na Madini Mhe. Medard Kalemani
na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Kushoto ni Waziri wa Nishati wa 
Uganda Mhe. Irene Muloni.18Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta 
Museveni wakiwa katika picha za pamoja na viongozi mbalimbali wa 
Serikali.19 20


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta  Museveni wakiwa katika picha za pamoja na viongozi mbalimbali wa 
Serikali.PICHA NA IDARA YA HABARI-MAELEZO.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: