Meneja wa Huduma za Rejareja wa Kampuni ya Samsung Leilatu Jetwa akimkabidhi Rajab Mchatta mshindi wa jumla wa promosheni ijukalinayo kama ’Nunua Sajili na Ushinde’ zawadi za Friji, Microwave na Luninga wakati wa hafla ya kumkabidhi iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Rajab Mchatta mshindi wa jumla wa promosheni ijukalinayo kama ’Nunua Sajili na Ushinde’ akikagua Friji, Microwave na Luninga zawadi alizokabidhiwa na Meneja wa Huduma za Rejareja wa Kampuni ya Samsung Leilatu Jetwa akimkabidhi wakati wa hafla ya kumkabidhi iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Rajab Mchatta mshindi wa jumla wa promosheni ijukalinayo kama ’Nunua Sajili na Ushinde’ akimshukuru Meneja wa Huduma za Rejareja wa Kampuni ya Samsung Leilatu Jetwa baada ya kumkimkabidhi Friji, Microwave na Luninga zawadi alipewa baada ya kuibuka mshindi wa jumla jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Majumbani wa Kampuni ya Samsung Tanzania, Rayton Kwembe akimpongeza Rajab Mchatta (wa pili kushoto) mshindi wa jumla wa promosheni ijukalinayo kama ’Nunua Sajili na Ushinde’ wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Meneja Bidhaa za nyumbani wa Kampuni hiyo, Eliasi Mushi na Meneja wa Huduma za Rejareja wa Kampuni ya Samsung Leilatu Jetwa. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: