Monday, August 14, 2017

TIGO YANYAKUA USHINDI WA PILI KATIKA MAONESHO YA NANENANE

Makamu wa Rais mhe. Samia Saluhu akimkabidhi Meneja wa kanda ya Kusini wa Kampuni ya Tigo Uthmaan Madati tuzo ya ushindi wa pili kipengele cha mawasiliano kwenye maonesho ya nanenane yaliyomalizika hivi karibuni kitaifa mkoani Lindi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu