Mkuu wa Wilaya ya Newala, Aziza Mangosongo, akizungumza na maofisa ugani wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya jinsi ya kutumia sayansi na teknolojia katika kuboresha kilimo kwa maofisa ugani kutoka  Halmashauri ya Wilaya ya Newala ambayo yameandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB). Kutoka kushoto ni Mtafiti, Bestina Daniel kutoka COSTECH na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya hiyo, Ally Lilama.
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala, Shakira Ahmadi, akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa wilaya kufungua mafunzo hayo.
 Ofisa Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika wa Mji wa Newala, Calistus Komba, akizungumza kabla ya kuanza kwa mafunzo hayo.
 Mtafiti Besitina Daniel kutoka COSTECH, akiwatambulisha maofisa wenzake kabla ya kuanza kwa mafunzo hayo.
 Muonekano wa Ukumbi wa Mikutano wa Halmshauri ya Wilaya ya Newala.
 Maofisa ugani wakiwa katika mafunzo hayo.
 Mafunzo yakiendelea.
 Mafunzo yakiendelea.
 usikivu katika mafunzo hayo.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya hiyo, Ally Lilama, akijitambulisha katika mafunzo hayo.
 Mkuu wa wilaya hiyo akisoma hutuba yake ya ufunguzi wa mafunzo hayo. Wengine waliokaa nyuma ni wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya hiyo.
 Mkuu wa Wilaya ya Newala, Aziza Mangosongo, akizungumza na watafiti. Kutoka kulia ni Dk.Emmarold Mneney, Benadetha Kimata, Dk.Nicholaus Nyange, Bestina Daniel na Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia katika Maendeleo ya Kilimo (OFAB), Philbert Nyinondi.
 Maofisa ugani wa wilaya hiyo wakijadiliana wakati wa 
mafunzo hayo.
 Mwezeshaji kutoka OFAB, Dk. Emmarold Mneney, akitoa mada kuhusu matumizi ya sayansi na teknolojia katika kilimo.
Ofisa Ugani wa Mji wa Newala, Lazaro Nchai, akiuliza swali kuhusu dhana potovu ya matumizi ya bioteknolojia katika kilimo.
Ofisa Ugani wa Kata ya Chikwedu-Chipamanda, Muharami Juma Salim, akiuliza swali katika mafunzo hayo kuhusu zao za mhogo.
Ofisa Ugani kutoka Kata ya Kitangari, Restituta Vendelini Umbela, akiuliza swali.
Mshauri wa Jukwaa la matumizi ya Bioteknolojia katika kilimo, Dk.Nicholaus Nyange, akitoa mada ya kuhusu mbegu bora za mahindi yanayostahimili ukame.
Ofisa kutoka Costech, Rose Soloka akiwajibika katika mafunzo hayo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: