Monday, September 11, 2017

AJALI YATOKEA MKUSHI, ZAMBIA... MSAADA WAHITAJIKA KUMTAMBUA DEREVA

Kuna ajali imetokea kati ya basi kampuni ya Power Tools na lori la Kitanzania namba T236 BTC na bodi T939 BYB madereva wote wamefariki wa basi na wa lori tafadhali tusambaze hizo namba za gari ya kitanzania kwa msaada kwa kuwa mpaka sasa dereva wa roli la Kitanzania maiti yake haijambulika kuwa ni mkazi wa wapi na ni nani jina lake ajali imetokea sehemu inaitwa mkushi Zambia na hilo lori lilitoka nchini Kongo. Habari zaidi zitawajia.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu