Thursday, September 14, 2017

ANASAKWA NA POLISI KWA KOSA LA KUTAKA KUMFUKIA MTOTO WAKE BAADA YA KUJIFUNGUA

Gemini Mushy Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma.

Jeshi la Polisi Wilayani MBINGA linamtafuta binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kosa la kutaka kumfukia mtoto wake mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu