Tuesday, September 26, 2017

BASI LA TASHRIFF LILILOKUWA LIKITOKA TANGA- DAR LAWAKA MOTO PONGWE - TANGA

Basi la Tashriff lililokuwa likitokea Tanga - Dar es Salaam limewaka moto majira ya saa 8 mchana eneo la Pongwe, Tanga. Kwa mujibu wa taarifa za awali chanzo cha moto huo hakijafahamika japo hakuna mtu aliyezurika japo mizigo yote imeungua.
Askari wa Kikosi cha Zima Moto wakiendelea na zoezi la uokoaji.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu