Monday, September 18, 2017

BONDIA MTANZANIA OMARI KIMWERI ANAYEISHI NCHINI AUSTRALIA ATUA BONGO NA KUMUOA LAWARIDI KIMWERI

BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anayefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS.
BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anayefanya shughuli zake nchini Australia katikati akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri kushoto ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa sherehe ya ndoa yao iliyofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam.
BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anayefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es Salaam.
Wageni waalikwa.
BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anayefanya shughuli zake nchini Australia kushoto akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri.
BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anayefanya shughuli zake nchini Australia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na msanii wa kundi la Segere Siza Mazongela wakati wa Sherehe ya bondia Omari Kimweri.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu