Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde kulia akipokea sehemu ya Msaada wa mabati 500 kwa ajili ya kuezeka kwenye majengo ya shule hiyo baada ya kuezuliwa na upepo kutoka kwa meneja wa ALAF tawi la Dodoma Grayson Mwakasege.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Shule ya msingi Huzi, Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akiwa na ujumbe wake pamoja na walimu wakikagua eneo la majengo ya shule hiyo lililoezuliwa mapaa na upepo hivi karibuni.
Muenekano wa Majengo ya shule ya Msingi Huzi yakiwa hayana mapaa kutokana baada ya kuezuliwa na upepo.
Kibao cha shule ya msingi Huzi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: