Mkutubi wa Maktaba ya mahakama hiyo,Revina Moshi akizungumza na maafisa kutoka shirika la maendeleo ya kimataifa ya Ujerumani (GIZ),kutoka kushoto ni Afisa wa Wizara ya maendeleo ya Ujerumani anayehusika na Umoja wa Afrika(AU) ofisi ya Addis Ababa,Ethiopia,Barbara Schaefer, Janina Hasse kutoka Berlin,Mkuu wa taasisi za GIZ na AGA,Hartmut Krebs
Mkuu wa taasisi za GIZ na AGA, Hartmut Krebs akiangalia sehemu ya machapisho kwenye maktaba ya AfCHPR.
Msajili wa mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu (AfCHPR), Dk Robert Enno (kulia) akizungumza na ujumbe kutoka taasisi za Wizara ya maendeleo ya Ujerumani waliotembelea mahakama hiyo.
Msajili wa mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR),Dk Robert Enno akimkabidhi zawadi Afisa wa Wizara ya maendeleo ya Ujerumani anayehusika na Umoja wa Afrika (AU) ofisi ya Ethiopia, Barbara Schaefer.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: