Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philipo Mangua akimkaribisha Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Agosti 31, 2017. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole. (Picha na Bashir Nkoromo).
Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philipo Mangua (kulia) akiongoza mazungumzo baina yake na Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Agosti 31, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ujenzi ya IDCPC Kanda ya Afrika, Wang Heming akipigapicha mandhari ya eneo kitakakojenjwa Chuo Kikuu cha Viongozi wa Siasa cha Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoa wa Pwani, alipotembelea eneo hilo, jana, Agosti 30, 2017. Kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinza.(Picha na Bashir Nkoromo).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: