Tuesday, September 26, 2017

MASAUNI AFANYA ZIARA WILAYANI RUFIJI, ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya kikazi ikiwa lengo ni kukagua masuala ya Ulinzi na Usalama na kusikiliza maoni na kero za wananchi.Mkutano huo ulifanyika katika Viwanja vya Ikwiriri, wilayani Rufiji, mkoani Pwani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mbunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa, akizungumza katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), ikiwa lengo ni kukagua masuala ya Ulinzi na Usalama na kusikiliza maoni na kero za wananchi. Mkutano huo ulifanyika katika Viwanja vya Ikwiriri, wilayani Rufiji, mkoani Pwani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wananchi wakifurahia jambo kwenye mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), ikiwa lengo ni kukagua masuala ya Ulinzi na Usalama na kusikiliza maoni na kero za wananchi.Mkutano huo ulifanyika katika Viwanja vya Ikwiriri, wilayani Rufiji, mkoani Pwani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwananchi wa Ikwiriri, Fatma Nassoro, akiuliza swali kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani) wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja wa Ikwiriri,wilayani Rufiji,mkoani Pwani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mwananchi wa Ikwiriri, Juma Salum, akiuliza swali kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani) wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja wa Ikwiriri,wilayani Rufiji, mkoani Pwani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na wananchi baada ya kumaliza mkutano wa hadhara, wakati wa ziara ya kikazi ikiwa lengo ni kukagua masuala ya Ulinzi na Usalama na kusikiliza maoni na kero za wananchi.Mkutano huo ulifanyika katika Viwanja vya Ikwiriri, wilayani Rufiji, mkoani Pwani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu