Wednesday, September 27, 2017

MUENDELEZO MATUKIO YA PICHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam September 27, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim ahmed Salim baada ya kupiga picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam September 27, 2017.
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu Mhe. Naohodha baaya ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam September 27, 2017. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Visiwani) Dkt. Abdalla Juma Sadala ‘Mabodi’
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakiondoka ukumbini baada ya kikao chao jijini Dar es salaam September 27, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam September 27, 2017. Picha na IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu