Monday, September 4, 2017

POLISI WAREJEA NA MEDALI MICHEZO YA MAJESHI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akipokea kombe la ushindi wa tatu kutoka kwa Inspekta Hashim Abdallah wakati wa mapokezi ya wanamichezo wa Polisi waliokuwa wakishiriki Michezo ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO Games) nchini Uganda .(Picha na Jeshi la Polisi)
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimpongeza Mwanariadha wa Polisi PC Basili John baada ya kushinda medali ya Dhahabu katika Michezo ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO Games) nchini Uganda hivi karibuni ambapo Polisi Tanzania ilishika nafasi ya Tatu kati ya nchi saba zilizoshiriki michezo hiyo.(Picha na Jeshi la Polisi)
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimpongeza Mwanamichezo wa Polisi Koplo Gaston Komba baada ya kushinda medali ya shaba kwa upande wa Taikondo katika Michezo ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO Games) nchini Uganda hivi karibuni ambapo Polisi Tanzania ilishika nafasi ya Tatu kati ya nchi saba zilizoshiriki michezo hiyo.(Picha na Jeshi la Polisi)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro na Viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na Wanamichezo wa Polisi walioshiriki katika michezo ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO Games) nchini Uganda hivi karibuni ambapo Polisi Tanzania ilishika nafasi ya Tatu kati ya nchi saba zilizoshiriki michezo hiyo.(Picha na Jeshi la Polisi)

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu