Saturday, September 30, 2017

TAMASHA LA TIGO FIESTA 2017 LAFANA MKOANI TABORA

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza kuhusu usalama wa watu na mali zao ulivyoimalishwa kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana.
Benpol akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Tabora katika Tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora
Msanii wa bongo fleva Mr Blue akitumbuiza kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana.
Chege akitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta 2017.
Darasa akitumbuiza kaaika jukwad la Tigo fiesta mapema usiku wa kuamkia leo mkoani Tabora.
Omg Dimpoz akiburudisha wakaz wa Tabora waliojitokeza kwa wingi.
Jux akitummbuiza wakazi wa Tabora.
Jux katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.
Maua Sama akiimba kwa hisia.
Maelfu ya wakazi wa Tabora wakiwa katika Tamasha la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu