Ben Pol na Maua Sama wakipagawisha wakazi wa jiji la Mwanza katika Tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumapili katika viwanja vya CCM Kirumba.
Ommy Dimpoz akiburudisha wakazi wa jiji la Mwanza katika vviwanja via Tigo Fiesta mapema jana katika vviwanja vya CCM kirumba usiku wa kuamkia jumapili.
Alikba na Ommy dimpoz wakilishambulia jukwaa la Tigo fiesta mapema usiku wa jana katika vviwanja vya CCM kirumba.
GNAKO na JUX wakiwaburudisha maelfu ya wakazi wa Mwanza katika Tamasha la Tigo Fiesta.
Lulu DIVA akiwa na wacheza shoo wake wakitoa burudani ya kukata na shoka.
Nandy akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema jana katika viwanja via CCM kirumba.
Maua Sama naye akilishambulia jukwaa la Tigo fiesta.
Msanii wa bongo fleva Rayvanny akiwapa burudani wapenzi wa muziki kwenye tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza usiku wa kuamkia Jumapili.
Rosa Ree akipagawawisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: