Monday, September 11, 2017

TIGO FIESTA 2017 LAFUNGULIWA RASMI JIJINI ARUSHA

Msanii Alli Kiba akiwaongoza mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Naibu waziri wa Ajira, Kazi na Vijana, Athony Mavunde, Goodluck Charles na Henry Kinambo kutoka Tigo kucheza pamoja kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 mkoani Arusha usiku wa kuamkia juzi.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo kanda ya kaskazini, Henry Kinabo akizungumza na waandishi wa habari kwenye wa tamasha la Tigo Fiesta2017 mkoani Arusha
Alicia akiendelea kushamyulia jukwaa la Tigo fiesta Jijini Arusha mapema mwishoni wa wiki iliyopita.
Msanii wa Ben Pol akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamasha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana
Aslay akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana
Umati wa wakazi wa Arusha wakiwa katika kushuhudia burudani ya Tigo Fiesta.
Shangwe za Tigo fiesta zikiendelea.
Vanesa Mdee akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana
Jux akilishambulia jukwaas la Tigo Fiesta.
Maya Sama akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta.
Msaga sumu akitumbuiza katika jukwaa la tigo Fiesta.
Young D akishambulia jukwaa la Tigo fiesta usiku wa kuamkia juzi Jijini Arusha.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu