Thursday, September 28, 2017

TIGO FIESTA TAMADUNIKA 2017 NDANI YA TABORA

Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za
utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora mapema jana.
Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora mapema jana.

Mshehereshaji wa Tigo Fiesta ‘TAMADUNIKA’ Mc Kicheko akifanya yake.
Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Mapambano mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora leo.
Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Wayege ya asili ya tambiko la Kimanyema kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora leo.
Sehemu ya watazamaji waliojitokeza kwa wingi kwenye maonesho ya Tigo Fiesta Tamadunika 2017 mkoani Tabora leo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu