Meneja wa Tigo kanda ya ziwa kusini, Gwamaka Mwakilembe akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo.
Mwalimu mkuu wa shule ya wasichana ya Tabora, Lydia Mwampamba akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo.
Kaimu Katibu Tawala mkoa Tabora, Nathalis Linuma akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi wa shule ya wasichana Tabora kabla ya makabidhiano ya huduma ya intaneti ya Tigo kwenye shule hiyo.
Kaimu Katibu Tawala mkoa Tabora, Nathalis Linuma akikata utepe kuzindua huduma ya Tigo eSchool shule ya sekondari wasichana Tabora. Kulia mkuu wa shule, Lydia Mwampamba, kushoto Afisa elimu mkoa, Suzana Nyarubamba na nyuma Meneja wa Tigo kanda ya ziwa kusini, Gwamaka Mwakilembe.
Mtaalam wa mtandao toka Shule, Direct Rajabu Mgeni akitoa maelezo kwa mgeni rasmi namna ya kutumia huduma ya Tigo eSchool.
Picha
Kaimu Katibu Tawala mkoa Tabora Nathalis Linuma akipata maelezo toka kwa wanafunzi wa shule ya sekondari wasichana Tabora jinsi ya kutumia huduma ya Tigo eSchool kwenye komputa, Pembeni mwenye fulana ya bluu ni Meneja wa Tigo kanda ya ziwa kusini, Gwamaka Mwakilembe.
Mgeni Rasmi kaimu Katibu Tawala mkoa wa Tabora Nathalis Linuma akiwa kwenye picha ya pamoja na walimu, wanafunzi na uongozi wa Tigo mara baada ya uzinduzi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: