Tuesday, September 26, 2017

WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA PILI WAPATIKA

Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania Hilary Daudi' Zembwela' na Najma Abdallah wakiendesha kampeni ya Afyabando kuwapata washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24. 2017.
Mabalozi wa Nordic Foundation Tanzania Hilary Daudi' Zembwela' na Najma Abdallah wakiwa na Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Bakari Maggid aliyesimamia zoezi la kuendesha kampeni ya Afyabando kuwapata washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24 2017.
Balozi wa Nordic Foundation Tanzania Najma Abdallah akiwasiliana na Diana Peter Mkazi wa Morogoro baada ya kuibuka mmoja wa washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya zenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa ajili ya matibabu pamoja na familia, katika droo ya kwanza ya Afyabando mchezo uliochezeshwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 24 2017.  (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu