Tuesday, September 26, 2017

WATOTO 39 WAJIUNGA NA VIKUNDI VYA UGAIDI MWANZA

Imeelezwa kuwa kumekuwepo na tishio kubwa la vijana wanaorubuniwa na kuingia kwenye makundi ya kigaidi ambapo katika kipindi cha Mwaka mmoja uliopita mkoa wa Mwanza umetoa vijana wapatao arobaini waliojiunga na vikundi hivyo katika mikoa Lindi na Mtwara.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa upelelezi Mkoa wa Mwanza Benjamin Kuzaga katika mkutano uliofanyika kata ya Pamba mtaa wa Bugarika uliokutanisha wananchi wa kata hiyo pamoja na Kamnda wa Polisi mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu