Saturday, September 16, 2017

ZEMBWELA ATANGANZWA KUWA BALOZI WA KAMPENI YA AFYABANDO

Afisa TEHAMA wa Taasisi ya NORDIC, Dickson Leonard akiongea na wanahabari kumtambulisha Hilary Daudi ‘Zembwela’ kuwa Balozi wa Nordic Foundation Tanzania Dar es Salaam Septemba 15 2017. Balozi Zembwela atafanya kampeni ijulikanayo kama ‘AfyaBando’. Kushoto ni Mtaalam Mwelekezi wa Afyabando-Nordic Foundation Tanzania, Dkt. Resipicius Salvatory. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot).
Balozi Zembwela akionesha namba ya kampuni na kumbukumbu kwa ajili ya kushiriki bahati nasibu ya kucheza 'Afyabando' ili kupata kadi ya Bima ya afya kwa shilingi 500.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu