Thursday, October 26, 2017

ANNA MAKINDA AMLILIA HAYATI ASKOFU CASTOR MSEMWA

Mbunge wa zamani wa jimbo la njombe mjini amabaye pia alikuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa TANZANIA katiaka awamu ya nne ANNA makinda amwelezea hayati CASTORY MSEMWA wa Jimbo la MASASI TUNDURU Mkoani RUVUMA alikuwa askofu mwenye kujali maslai ya kanisa katika kusaidia jamii, hayati CASTORY MSEMWA alifarika 19.10.2017 nchini OMANI wakati akisafirishwa kwenda nchini INDIA kwa matibabu na amezikwa leo katika kanisa la matalatifu FRANSISCO WA EXVERY wilayani TUNDURU na kuudhuriwa na viongozi wa kitaifa na kimataifa.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu