Blogger wa Jamvi la Habari ambaye pia ni mhadhiri wa chuo kikuu cha SAUT-Songea Willy Migodela. Tarehe 07/10/2017 alifunga harusi na Lightness Ngenzi katika kanisa la KKKT Usharika wa Mbarali mkoani Mbeya. 
Pichani Bwana Harusi Willy Migodela na Bibi Harusi Lightness Ngenzi 
Pichani Bwana Harusi na Bibi Harusi wakiwa na wasimamizi wao Mr & Mrs Pambano Myula. 
Pichani Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao. 
Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika tabasamu la kufurahia ndoa yao. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: