Wednesday, October 18, 2017

DKT. SHEIN AWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA KIDATO CHA NNE NA SITA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwapunga mkono wakati alipofuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Riziki Pembe Juma mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi, Kikwajuni Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017).
Baadhi ya Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017), wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya kupongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo Dkt. Shein aliwaandalia chakula cha mchana na kuwapa zawadi wanafunzi bora kimasomo 2016/2017. (Picha na Ikulu.)

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu