Sunday, October 29, 2017

JIJI LA TANGA LAZIZIMA KWA MSIMU WA TIGO FIESTA 2017

Msanii Aslay akitumbuiza mashabiki waliofurika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kwenye Tamasha kubwa la Tigo Fiesta 2017 usiku wa kuamkia jumamosi
Msanii mkongwe wa Taarabu Khadija Kopa na msanii wa bongo fleva, Ben Pol kwa pamoja wakiwa kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga usiku wa kuamkia jumamosi.
RosaRee akiwa katika jukwaa la Tigo Fiesta 2017.
Msanii Zaidi yao akiimba na mashabbiki zake katika Tamasha la Tigo Fiesta 2017 Mkoani Tanga.
Msanii wa bongo fleva, Nandy akiwa kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga usiku wa kuamkia jumamosi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu