Wednesday, October 18, 2017

LATIFA KANYANGA ASHEREHEKEA MAHAFALI YAKE YA KIDATO CHA NNE GREEN ACRES SEKONDARI


Afisa elimu Wilaya Ubungo, akizungumza wakati wa Mahafali ya 18 ya shule ya Sekondari ya Green Acres yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwanafunzi Latifa Kanyanga akipokea cheti kutoka kwa mgeni Rasmi katika mahafali ya 18 ya kidato cha 4 katika Shule ya Sekondari ya Green Acress.
Mwanafunzi Latifa Kanyanga akisoma Risala wakati wa Mahafali ya 18 ya Shule ya Sekondari ya Green Acres.
Mwanafunzi Latifa Kanyanga  akicheza wakati wa mahafali ya 18 ya Sekondari ya Green Acres.
Nasra Mushi akimlisha  keki Mama yake , Evelyn Kanyanga  katika Mahafali ya 18 ya shule ya sekondari ya Green Acres.
Mwanafunzi Latifa Kanyanga akipokea Zawadi ya Laptop kutoka kwa Mama yake Evelyn Kanyanga mara baada ya Mahafali ya 18 ya shule ya Sekondari ya Green Acres.
Ndugu na jamaa wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu. 

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu