Wednesday, October 11, 2017

MAELFU YA WAKAZI WA IRINGA WAJITOKEZA USIKU WA TAMASHA LA TIGO FIESTA 2017 WIKIENDI

Wasanii wa kundi la Rostam, Roma na Stamina wakiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumatatu lililofanyika uwanja wa Samora mjini Iringa.
Aslay akiimba na mashabiki kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumatatu lililofanyika uwanja wa Samora mjini Iringa
Joh Makini akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Iringa.
Jux akiburudisha wakazi wa Mkoa wa Iringa.
Maua Sama akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2017.
Nandy akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta2017 mkoani Iringa mapema jumapili iliyopita.
Ommy Dimpoz akitumbuiza wakazi wa Iringa.
Vanessa Mdee akitoa burudani na madansa wake katika jukwaa la Tigo Fiesta 2017 viwanja vya Samora Mkoani Iringa.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu