Tuesday, October 17, 2017

MAELFU YA WAKAZI WA SONGEA WAFURAHIA MSIMU WA TIGO FIESTA 2017

Msanii wa bongo fleva Aslay akiimba kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa Majimaji mjini Songea usiku wa kuamkia jumatatu.
Ommy Dimpoz akiimba na mashabiki zake kutoka Songea mapema usiku wa jumapili katika Tamasha la Tigo Fiesta 2017.
Msanii wa bongo fleva Darassa akitumbuiza kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa majimaji mjini Songea usiku wa kuamkia jumatatu.
Mimi Mars akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2017 mapema usiku wa jumapili.
Nandy akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2017 mapema jumapili mkoani Songea usiku wa kuamkia jumatatu.
Vanesa Mdee akiburudisha maelfu ya wakazi wa Songea katika Tamasha la Tigo Fiesta 2017.
Roma Mkatoliki akitumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta 2017 mapema usiku wa jumapili mkoani Songea.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu